Sunday, April 19, 2015

UKRAINE: WAASI WADAIWA KUKIUKA MKATABA

wanajeshi wa Ukraine wakijiandaa kuwashambulia waasi
Serikali ya Ukraine inasema kuwa waasi wanaungwa mkono na Urusi wamekiuka pakubwa muafaka wa amani mara 20 zaidi.

Muafaka huo uliafikiwa kusitisha vita katika mji wa Donetsk ulioko mashariki mwa Ukraine.
Duru kutoka kusini mashariki mwa Ukraine, zinasema kuwa kumeshuhudiwa mapigano mapya kati ya wanajeshi waaminifu kwa serikali na waasi wanaoungwa mkono na Urusi.

Mapigano yamechacha katika kijiji cha Shyrokyne - kilichoko katika mji wa bandarini wa Mariupol. Tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, pia usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...