Saturday, August 29, 2015

ANGALIA MAJINA YA WALIOKOSEA KUJAZA FOMU ZA MIKOPO KWENDA CHUO KIKUU 2015/2016


Kuangalia majina ya waliokosea bofya hapa. Asante kwa kutembelea blog hii, endelea kuwa nasi, like page yetu ya facebook bofya neno Jambo Tz  upate habari zetu haraka zaidi.




WAANDISHI WA HABARI WA AL-JAZEERA WAHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA MITATU


Waandishi wa Al Jazeara miaka 3 Jela

Mahakama nchini Misri imewahukumu waandishi watatu wa kituo cha runinga cha Al jazeera miaka mitatu jela. 

Wakati wa kutolewa kwa hukumu hiyo, Mohamed Fahmy, Peter Greste na Baher Mohamed walipatikana na hatia ya kutangaza habari za uongo na kulisaidia kundi la Muslim Brotherhood ambalo kwa sasa linatambuliwa kuwa kundi la kigaidi.

Baher Mohamed pia alihukumiwa kifungo kingine cha miezi sita. Hata hivyo Peter Greste, yuko nje ya nchi baada ya kutimuliwa kutoka nchini humo mwezi Ferbruari.

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA LEO EPL HII HAPA


Leo kuna michezo kadhaa inapigwa kwenye ligi kuu ya England marufu kama EPL ikiwa ni mwendelezo wa kumsaka bingwa mpya wa msimu huu sambamba na timu zitakazoshiriki Champions League msimu ujao na zile zitakazodondokea kwenye michuano ya UEFA Europer League.

Ratiba ya michezo itakayopigwa leo ni hii hapa, angalia timu unayoishabikia itacheza na timu gani na muda gani

MUDA: (ni kwa saa za Uingereza)

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...